Candidates for the post of WHO Regional Director for Africa
Wagombea wa nafasi ya Mkurugenzi wa WHO Kanda ya AfrikaMajina ya wagombeaji wa uchaguzi wa Mkurugenzi wa Kanda ajaye wa Shirika la Afya Ulimwenguni Kanda ya Afrika yalitumwa na Mkurugenzi…
Wagombea wa nafasi ya Mkurugenzi wa WHO Kanda ya AfrikaMajina ya wagombeaji wa uchaguzi wa Mkurugenzi wa Kanda ajaye wa Shirika la Afya Ulimwenguni Kanda ya Afrika yalitumwa na Mkurugenzi…
🇦🇴🇹🇿 Luanda ANGOLA Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amewasili jijini Luanda nchini Angola kuwasilisha Ujumbe maalum wa Mhe. Dkt.…
HARARE, ZIMBABWE Mkutano wa Mawaziri wa Majadiliano ya Ushirikiano kati ya Jumuiya ya Maendekeo Kusini mwa Afrika (SADC) na Umoja wa Ulaya (EU) umefanyika Machi, 15, 2025 jijjini Harare, Zimbabwe,…
Berlin Germany Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki kwa mafanikio maonyesho makubwa ya Utalii duniani (ITB-Berlin) yanayoendelea kwenye jiji la Berlin nchini Ujerumani. Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
Hungary Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Wabunge wa Bunge la Hungary wanaounda Chama Rafiki…
Malawi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya miradi ya Wizara, Balozi Said Shaib Mussa, ametembelea majengo…
WABONGO UGHAIBUNI MEDIA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo(Mb.), ametoa rai kwa Jumuiya ya Diaspora wa Tanzania wanaoishi nchini Hungary kuendelea…
RAIS PEREIRA AFUNGUA MWAKA MPYA WA MAHAKAMA YA UMOJA WA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU RASMI JIJINI ARUSHA Rais wa Jamhuri ya Cabo Verde Mhe. José Maria Pereira…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amesaini Kitabu cha Maombolezo Ubalozi wa India nchini kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Msataafu…
WU®MEDIA Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Shirikisho la Somalia zimesaini hati nne za makubaliano ya ushirikiano katika mkutano uliofanyika jijini Mogadishu leo tarehe 19 Disemba 2024 chini…