TANZANIA NA ETHIOPIA ZASAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA ZA KIMKAKATI
Addis Ababa, EthiopiaWU®MEDIAJamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Shirikisho la Ethiopia zimesaini Hati za Makubaliano ya Ushirikiano katika maeneo ya kimkakati ikiwemo: biashara, viwanda, mifugo, mafunzo ya anga,…


















