BARAZA LA WANAWAKE MISRI LAMTAMBUA MTANZANIA KUWA KWENYE ORODHA YA WANAWAKE KUMI WENYE USHAWISHI KWA JAMII
Cairo MISRI Zaituni Abdallah: Mwanaharakati wa Kijamii na Mwanamke wa Kwanza Mwafrika Kuongoza Jumuiya Kairo Katika kutambua jukumu lake muhimu katika kuhudumia jamii ya Watanzania Kairo, Jukwaa la Uongozi wa…


















