BOT YATOA TAMKO: DIASPORA WENYE URAIA WA NJE KUFUNGUA BANK ACCOUNT
WU® MEDIA Kabla ya tangazo hili la BOT, masharti ya kufungua account Tanzania yaliwalazimu Diaspora kuwa na Pasipoti ya Tanzania au Kitambulisho cha NIDA. Ambacho Diaspora wenye asili ya Tanzania…

















