JWTZ WEKEZENI KWENYE RESCUE OPERATIONS.
WU® MEDIA George Michael Uledi.Kyela,Mbeya.November 8,2022. JWTZ ndio chombo pekee Tanzania ambacho kinategemewa sana na Serikali katika kukabili matishio mbalimbali zaidi ya matukio ya vita hasa wakati huu ambapo matishio…

















