MATOKEO YA UCHAGUZI JUMUIYA YA WATANZANIA NAPOLI
WU® MediaPRODUCTION LIMITED Jumuiya ya Watanzania wanaoishi mkoa wa Campania ITALY wamefanya uchaguzi wa kihistoria Jana jumamosi tarehe 4/06/2022. Uchaguzi huo ambao uliikuwa ukisubiriwa kwa hamu kubwa ulifanyika kwenye Ukumbi…
















