WABUNGE WACHUKIZWA NA UNYANYASAJI, UBAKAJI KWA WATOTO WADOGO
WU Media PRODUCTION LIMITED Na Mwandishi wetu – Bungeni Dodoma Baadhi ya wabunge wameonyesha kuchukizwa na vitendo vya ukatili vinavyoendelea hapa nchini hususan matukio ya ulawiti na ubakaji wa watoto…


















