JICHO LA ULEDI: UJAMBAZI HUU UNA LENGO LA KUMPIMA MH RAIS SAMIA AU KUWAPIMA POLISI?
JICHO LA ULEDI George Michael Uledi.Kyela,Mbeya.May 20,2021. Ni kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Rais Samia Suluhu Hassan ameamua kuwabatiza Watanzania kwa barafu watanzania ambao walishazoea kubatizwa kwa…