ASITOKEE KIONGOZI KUWATISHA WATOA TAARIFA KUPITIA MFUMO WA SNR DK.MWINYI AONYA
DK.MWINYI AONYA Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amewataka viongoziย wa ummaย ย kuwajibikaji kwaย kero na changamoto wanazowasilishiwa na mfumo wa Sema Na Rais…


















