The Tanzania Think Tank: GOLD RESERVE NDIO USALAMA WA TAIFA LETU SASA NA BAADAE.
The Tanzania Think Tank. Moja ya mijadala mikubwa ambayo imetawala duniani kote kwa wiki nzima ni suala la Urusi chini ya Jasusi Vladmir Putin kutangaza kuishusha dola ya Marekani sokoni…
AFRIKA KUJADILI UJINGA WA LGBTQ KUMEIDHIHIRISHIA DUNIA KUWA HAINA WASOMI.
Kutetea Ndoa za Jinsia Moja ni Kukiuka Sheria za Haki za Binadamu za Kimataifa NaObadia Kajungu, Esq.(ADVOCATE) Mtandao wa Ushoga Duniani (LGBTQ Movement) ambao unatetea haki za watu wa jinsia…
MAMA JANETH MAGUFULI ATUNUKIWA TUZO YA HESHIMA YA KIMATAIFA
DRC Mama Janeth Magufuli, Mjane wa aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Hayati John Pombe Magufuli ametunukiwa Tuzo ya Heshima ya Kimataifa toleo la…
ASALI KUTOKA CHUO CHA NYUKI TABORA YASHIKA NAFASI YA PILI
WU® MEDIA Asali kutoka Chuo cha Nyuki Tabora yashika nafasi ya pili kwenye kundi la asali yenye rangi nyeusi. Bw. Daniel Pancras amepokea kwa niaba ya Ujumbe wa Tanzania ulioshiriki…
WAZIRI WA MAJI MH JUMA AWESO AMUWAKILISHA RAIS UMOJA WA MATAIFA
New York, USA Waziri wa Maji Mhe Juma Aweso anamwakilisha Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Maji…
KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI DR ANNA MAKAKALA AKUTANA NA VIONGOZI WA DIASPORA ITALY
Rome, Italy 19/03/2023 Na Mwandishi wetu. Commissioner General of Immigration TANZANIA Dr Anna Peter Makakala Kamishna Generali wa Uhamiaji Dr Anna Peter Makakala kwa mara ya kwanza amekutana na viongozi…
TANZANIA YASHIRIKI Tipicità FESTIVAL 31°EDITION FERMO ITALY. TAN WARRIORS SPORTS ACADEMY YAJIONGEZA
Maonesho yalianza 11-12-12-13 March, 2023 Tan Warriors Wasaini mikataba yenye fursa kubwa kwa Vijana wa TANZANIA TAN WARRIORS SPORTS ACADEMY KUWA KITUO KIKUBWA CHA MICHEZO AFRIKA YA MASHARIKI Tarehe 11-12-13…
BALOZI MAHAMOUD THABIT KOMBO AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO NCHINI MALTA
WU® MEDIA Balozi wa Tanzania nchini Italia Mh.Mahmoud Thabit Kombo amewasilisha hati ya utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Malta, Dk. George Vella katika Ikulu ya Malta.Baada ya kuwasilisha hati…
ABDULHAKEEM MARUNDA aka ABMA MTANZANIA MSANII WA MUZIKI ANAEISHI NCHINI CANADA.
Kumbe mwanamuziki “ABMA’ Abdulhakeem Marunda ni mtanzania ! tena kutokea Mtwara ! Tanzania ni nchi yenye baraka ya watu wenye vipaji vinavyo tingisha kitaifa na kimataifa, Utajiri huu wa Tanzania…


















