ABDULHAKEEM MARUNDA aka ABMA MTANZANIA MSANII WA MUZIKI ANAEISHI NCHINI CANADA.
Kumbe mwanamuziki “ABMA’ Abdulhakeem Marunda ni mtanzania ! tena kutokea Mtwara ! Tanzania ni nchi yenye baraka ya watu wenye vipaji vinavyo tingisha kitaifa na kimataifa, Utajiri huu wa Tanzania…


















