UMOJA WA WATANZANIA HUNGARY WAWAPOKEA WATANZANIA WANAOINGIA HUNGARY KUTOKEA UKRAINE
WU® MEDIA Mwalimu Peter Mhagama ambae ni katibu wa Umoja wa Watanzania Hungary. Kwa niaba ya Umoja wa Watanzania waishio Hungary. Anapenda kuwataarifu Watanzania wanafunzi na wasio wanafunzi ambao waliokuwa…

















