CHADEMA NA KAMCHEZO KAO KULITUMIA BUNGE LA ULAYA KAMA MAFICHO YA “DHAMBI ZAO”.
George Michael Uledi.Kyela,Mbeya!Desemba 4,2021. Ni mwaka jana tu, kijana na kada wa Chadema ndugu Godbless Mallisa alikuwa amepewa kazi maalum na Chama chake ya kutaka kuwatisha watanzania kupitia kivuli cha…

















