Jicho la Uledi: SITOSHANGAA KUONA HAYA YAKITOKEA KWA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN!
George Michael Uledi.Kyela,Mbeya.Octoba 20,2021. Ni suala la muda tu ufike nishudie haya kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya sita, Mh Samia Suluhu Hassan. Ni wazi…

















