MAMA SAMIA SULUHU HASSAN WA GLASGOW ALIVAA GAUNI LA MATAIFA MASIKINI DUNIANI.
George Michael Uledi.Kyela,Mbeya.November 4,2021. Unaweza kusema kwa madaha kabisa kwamba karibu nyumbani Mama wa Taifa,karibu nyumbani mwana mazingira halisi, karibu nyumbani mwana sauti kwa wasio na sauti duniani,Samia Suluhu Hassan,Rais…


















