ZANZIBAR INAHITAJI WAWEKEZAJI ZAIDI-DK.MWINYI
ZANZIBAR Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar bado inahitaji Wawekezaji zaidi kuja kuwekeza nchini kupitia sekta mbalimbali. Ameeleza kuwa zipo…


















