SENSEI RUMADHA APOKELEWA UBALOZI WA TANZANIA ROME BAADA YA KUMALIZIKA KWA SEMINA YA WALIMU WA KARATE
Na Mwandishi wetu, Rome Italy Sensei Rumadha Fundi amepokelewa Leo Ubalozi wa Tanzania Nchini Italy baada ya kumalizika kwa semina ya kimataifa ya Sanaa ya Karate iliyofanyika mwaka huu Catania,…


















