KILIO CHA WANANCHI ARUSHA KWA WAZIRI WA MAJI
Anaandika Mhanga Ndugu JEROME ERNEST MMASSY “Naomba mwenye ukaribu na waziri wa maji anisaidie kumfikishia kilio hiki“ Ninaitwa JEROME ERNEST MMASSY ni mkazi wa kata ya Olasiti jijini Arusha. Wakati…
Anaandika Mhanga Ndugu JEROME ERNEST MMASSY “Naomba mwenye ukaribu na waziri wa maji anisaidie kumfikishia kilio hiki“ Ninaitwa JEROME ERNEST MMASSY ni mkazi wa kata ya Olasiti jijini Arusha. Wakati…
George Michael Uledi.Kyela,Mbeya.November 4,2021. Nini kimesitisha safari za treni kati ya dar-moshi-arusha baada ya Serikali ya awamu ya tano kuifufua?kabla ya mwaka mmoja ya kuanza kufanya kazi baada ya kukwama…
NA Mwandishi wetu WUยฎ Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ndugu Philip Japhet Mangula Jana Novemba 03 amefungua Mafunzo ya Makatibu wa Mikoa Na Wilaya Nchi Nzima katika ukumbi wa…
George Michael Uledi.Kyela,Mbeya.November 4,2021. Unaweza kusema kwa madaha kabisa kwamba karibu nyumbani Mama wa Taifa,karibu nyumbani mwana mazingira halisi, karibu nyumbani mwana sauti kwa wasio na sauti duniani,Samia Suluhu Hassan,Rais…
George Michael UlediKyela,Mbeya.November 3,2021. Maono,wivu,dira na matamanio ya Taifa lolote makini duniani yanapimwa kwa mambo makubwa matatu na katika hilo sina shaka kabisa(i)Maono ya katiba ya Taifa husika(ii)uimara wa Ilani…
Habari picha WUยฎ Rais Samia akishiriki mkutano wa Umoja wa Mataifa wa 26 wa mabadiliko ya tabia Nchi – #COP26 pamoja na viongozi wenzake Wakuu wa Mataifa mbalimbali akiwemo Rais…
George Michael Uledi.Kyela,Mbeya.November 1,2021. Andiko langu la leo asubuhi lilikuwa na jicho kali kuhusu jinsi kauli zetu wana CCM zinaweza zikaibomoa Serikali yetu,je,wamachinga wa Dar es salaam hasa eneo la…
Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dr Hussein Mwinyi. Atimiza mwaka mmoja tangu aingie madarakani.
George Michael Uledi.Kyela Mbeya.November 1,2021. Matamko kinzani ya Chama dola kwa Serikali yake yanaweza kuleta mambo makubwa mawili (I)kuibomoa na kuipunguzia uhalali Serikali kwa Wananchi wake na pili (ii)kuijenga CCM…
Na Dr Yahya Msangi Mama haya ndio yataleta kitimtim kwenye haya majadiliano: Hรฉla (eeeela)Toka Obama na wenzie waahidi bilioni 100 mwaka 2015 pale Copenhagen mpaka dakika hii wametoa bilioni 70…