Jicho la Uledi: CCM IMESHASHINDA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA USHETU MKOANI SHINYANGA!
George Michael Uledi.Kyela,Mbeya.Octoba 8,2021. Ni wazi kuwa mgombea ubunge wa jimbo la Ushetu wilayani kahama mkoani Shinyanga kupitia tiketi ya CCM Ndugu Emmanuel Charahani, atashinda uchaguzi huo asubuhi na mapema…


















