HABARI KATIKA PICHA: WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA IKULU
Waziri mkuu Mh Majaliwa Kasim Majaliwa amekagua ujenzi unaoendele wa ikulu ya makao makuu Dodoma.Ujenzi huu ulianza tangu awamu ya Tano ya Dr Magufuli.
Waziri mkuu Mh Majaliwa Kasim Majaliwa amekagua ujenzi unaoendele wa ikulu ya makao makuu Dodoma.Ujenzi huu ulianza tangu awamu ya Tano ya Dr Magufuli.
Na Mwandishi wetu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Godfrey Chongolo, akiambatana na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kukagua miradi na shughuli za maendeleo mkoani Dar…
Na H.Mkali mkali@live.co.uk “Hivi karibuni alisikika Ndugu Jenerali Ulimwengu katika mahojiano na vyombo vya Habari,akitumia nguvu kumkosoa vikali Mh Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,na akafika…
The Government of United Republic of Tanzania has reviewed the cost of COVID-19 Test for travelers, and decided to reduce the cost from 100USD to 50USD for RT PCR Test. The Government…
George Michael Uledi.Kyela,Mbeya.August 11,2021. Najiuliza kuna nini kimemtokea Mwalimu wangu wa Uandishi wa Habari komredi Ernest Sungura mpaka Gazeti la Chama la Uhuru lije na “Headline” ya aina ile?,wakati asubuhi…
Habari Picha Pichani ni Mh Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika moja ya mikutano na Wawekezaji kutoka Oman. Zanzibar imeendelea kuvutia wawekezaji kutoka kila pande ya…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali na itatekeleza mipango yote iliyoachwa na aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, marehemu Elias Kwandikwa.…
Katika pitapita yangu nimesoma ripoti hii ya Uwekezaji Duniani Mwaka 2021 yaani World Investment Report 2021 iliyotolewa na UNCTAD. Ripoti inasema Mwaka jana 2020 katikati ya wimbi la korona bado…
George Michael Uledi.Kyela,Mbeya.August 9,2021. Katika siasa za dunia za vyama vingi za sasa”contemporary politics”,sio kila wakati Chama dola kinapaswa kujifungamanisha na maamuzi ya Serikali yake kwa lengo la kutunza uhalali…
Na Dr Yahya Msangi Togo West Africa Utesaji wafungwa ulianza kitambo na uslishamiri sana enzi za vita kuu ya Kwanza na ya Pili. Ilikuwa ukitekwa (Prisoner of War – PoW)…