South Africa: ZUMA KUHUDHURIA MAZIKO YA KAKA YAKE.
Zamzamnews29@gmail.com Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amepewa ruhusa ya kuhudhuria mazaishi ya kaka yake mdogo, Michael, ambaye anapangwa kuzikwa Alhamisi hii mchana. ‘’Maombi ya Bw Zuma ya…


















