WAZIRI LELA AIPONGEZA EQUITY BANK (T) KWA KUONGEZA UFANISI KATIKA UTALII ZANZIBAR
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar Mh. Lela Mohamed Musa ameipongeza Benki ya Equity kwa kuongeza ufanisi katika utalii wa Zanzibar kupitia uwekezaji katika mifumo ya kiditali…


















