NATAMANI KUONA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU IKIONGEZA WELEDI ZAIDI!
George Michael Uledi.Kyela,Mbeya.June 15,2021. Kuna kitu kwa muda mrefu kilikuwa kinakosekana katika Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu labda kwa bahati mbaya au labda kwa maelekezo lakini kiweledi naona wazi…


















