WE THIO LAFKI YANGU TEENA!
Thalamaleku Dadi! Mazungumzo na @AbuLuLuFaJM NILIRUDI nyumbani jioni baada ya mizunguuko yangu ya kimaisha. Kwa kawaida mwanangu mdogo, Lulufa, hunikimbilia kwa shangwe kuja kunipokea, lakini siku ile nilishangaa alikuwa “kauchuna”.…

















