WAZIRI WA MAMBO YA NJE AMUWAKILISHA RAIS SAMIA NCHINI IRAN
SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS WA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo alimwakilisha wa Rais wa…
SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS WA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo alimwakilisha wa Rais wa…
Mjini Magharibu UNGUJA Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, Leo Ijumaa Agosti 09, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya…
Comoro Taasisi za fedha zinazoshiriki kliniki ya Diaspora ya Watanzania nchini Comoro zimetembelea Benki ya Meck ambayo ni benki kubwa zaidi nchini Comoro Taasisi hizo ambazo ni CRDB,NMB na TCB…
“Ameandika balozi Mbelwa Kairuki katika ukurasa wake wa X (Tweeter)” Kuanzia jana kuna ujumbe mfupi wa video uliozunguka katika mitandao ya kijamii uliorekodiwa na raia wa Uingereza Mwenye Asili ya…
Dar Es Salaam WAZIRI KOMBO APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WATEULE WA ZIMBABWE, ITALIA NA RWANDA NCHINI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika…
Na GFAMILY KAGUTTA WU®MEDIA Kaimu balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Italia, Bi Jubilata Mgaya siku ya jana tarehe 3/08/2024 aliungana na Watanzania nchini Italy katika zoezi la…
Dar Es Salaam SPIKA wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) amemtaka Mbunge mteule, Balozi Mahmoud Thabit Kombo kumsaidia Rais katika kuhakikisha…
Na GFAMILY KAGUTTA WU®MEDIA, ITALY Rais wa Jamhuri yaMuungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi Mbalimbali. Katika taarifa iliyotolewa na katibu mkuu Kiongozi,…
Dodoma Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.), amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano…
11/06/2024, SWISS Balozi wa Tanzania Mh. Hassani Iddi Mwamweta leo amewasilisha Hati za Utambulisho (letters of Credence) kwa Mheshimiwa Viola Amherd, Rais wa Shirikisho la Uswisi. Pamoja na kuwasilisha salamu…