TANGAZO: ZOOM MEETING UCHAGUZI DIASPORA SWEDEN
MVP is inviting you to a scheduled Zoom meeting. Mkutano wa wanadiaspora katika maandalizi ya uchaguzi Sweden. Topic: 1. Katiba ya TANRIKS 2. Uchaguzi wa viongozi. 3. Msimamo wa vyama.…
MVP is inviting you to a scheduled Zoom meeting. Mkutano wa wanadiaspora katika maandalizi ya uchaguzi Sweden. Topic: 1. Katiba ya TANRIKS 2. Uchaguzi wa viongozi. 3. Msimamo wa vyama.…
WU® Media PRODUCTION Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar ipo tayari kushirikiana na wadau mbali mbali wa kimataifa katika kupata Teknolojia za kisasa katika shughuli zote za bahari…
WU®Media PRODUCTION Watanzania wanaoishi Uingereza tarehe 19/03/2022 wameadhimisha siku ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa Hayati Dr John Pombe Magufuli,aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa…
George Michael Uledi.Kyela,Mbeya.March 19,2021. Siku kama ya leo mwaka jana 202, Mwanamama mmoja mtulivu kutoka visiwa vya Zanzibar ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaandika historia yake binafsi na…
Na Dr Yahya Msangi LOME TOGO Nimefuatilia mjadala kuhusu Bei ya mbolea na agizo la Waziri kuwa warejeshewe kilichozidishwa na wafanyabiashara wa mbole. Ni kichekesho cha Ukraine! Inashangaza Waziri anasifiwa!…
WU®Media PRODUCTION Ms. Tagie Mwakawago, Ag. Director of Diaspora in the Ministry of Foreign Affairs met for discussion in DSM with Mr Abdulmajid Nsekela, Managing Director of CRDB about adapting…
George Michael Uledi.Kyela,Mbeya.March 18,2022. Juzi nimemsikia RAIS na Mama yangu kipenzi Samia Suluhu Hassan wakati akihojiwa na DK Ayub Lioba pale TBC I.Mama anasema anafikilia kubinafsisha Bandari ya Dar Ili…
Mwandishi huru : Mathayo Samson Kizinga +255718 932888 kizinga05@gmail.com Si tu Dr John Pombe Magufuli alikuwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania ndio maana watu wanamkubuka, lahasha! Bali ni…
George Michael Uledi.Kyela,MBEYA.March 17,2022. Mara zote katika Biblia, Mungu alifanya matendo ya ishara kwa watawala kabla hajaamua kushusha hasira zake dhidi ya tawala zenye kukaidi maagizo yake Ili mpango wake…
WU®Media PRODUCTION Ni kupitia ndege zake, abiria Milioni 90.2 kutazama Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro amefanya mazungumzo na Uongozi wa juu wa Shirika la ndege la Umoja wa…