Kalamu ya Mkali: MH.SAMIA SULUHU HASSAN: UKIZINGATIA NYAYO ZA MAGUFULI, UTAIFIKISHA TANZANIA “TO THE MOUNTAIN TOP.
Na H.Mkali mkali@live.co.uk “Hivi karibuni alisikika Ndugu Jenerali Ulimwengu katika mahojiano na vyombo vya Habari,akitumia nguvu kumkosoa vikali Mh Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,na akafika…


















