Jicho la Uledi: JWTZ KAMA INAAMUA LEO INAWEZA KUWA INJINI YA KIMKAKATI YA TAIFA KATIKA KUJENGA UCHUMI WETU WAKIWA NJE YA MIPAKA YA TANZANIA.
George Michael Uledi.Kyela,Mbeya.August 8,2021. Wanasiasa wetu hasa Chama changu tawala chama cha mapinduzi, tunapaswa kuwa na maono makubwa na kuona jinsi gani chombo nyeti kama JWTZ kinaweza kikatufanyia kazi za…















