RAIS SAMIA NA MTAZAMO MPYA KATIKA DIPLOMASIA NINI KIFANYIKE?
Na Abbas Mwalimu (0719258484). Jumatano tarehe 28 Jumatano, 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Jumanne tarehe 27 Julai, 2021 aliwaapisha Mabalozi wapya 13 kati…
















