EQUITY BANK YAZINDUA MFUMO MPYA KWA NCHI ZA SADC
Good new kwa Diaspora Fungua Account yako sasa. Leo tumezindua mfumo mpya wa malipo kwa nchi wanachama wa SADC unaoitwa SIRESS ambao utarahisisha ufanyaji malipo kwa nchi wanachama kwa gharama…
Good new kwa Diaspora Fungua Account yako sasa. Leo tumezindua mfumo mpya wa malipo kwa nchi wanachama wa SADC unaoitwa SIRESS ambao utarahisisha ufanyaji malipo kwa nchi wanachama kwa gharama…
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere amethibitisha kutokea kwa kifo hicho.Mheshimiwa Makongoro amesema, Sophia ni mtoto wa kaka yake marehemu, John Nyerere.“Sophia alikuwa na familia, hivyo tutakaa pamoja kufahamu…
Anaandika MKWERU ZAKARIA MASWALE Tarehe 09th June 2021 kwenye mahojiano kupitia kipindi cha Agenda kinachorushwa na kituo cha Luninga cha Startv, kinachoongozwa na mtangazaji Alloyce nyanda, mmiliki wa kituo hicho…
George Michael Uledi.Kyela,Mbeya.July 27,2021. Unaweza kumlazimisha punda kwenda kunywa maji mtoni lakini unaweza usifanikiwe katika kumlazimisha kunywa maji hayo kwahiyo katika mazingira hayo mswaga punda anapaswa kutumia hekima na akili…
George Michael Uledi.Kyela,Mbeya.July 26,2021. Ni ujinga kudhani kuwa Sheria za Nchi zipo kwa ajili ya watu fulani tu lakini Sheria hizo ugeuka kuwa “udikteta” zinapowakumba watu wengine! Baada ya sherehe…
Na mkali@live.co.uk.24/07/2021. Jamani, Hawa mabeberu wanataka kutuzamisha kwenye dimbwi la madeni yasiyolipika kwa lengo la kutunyang’anya uhuru tulionao kama Wachina wanavyofanya hivi sasa au hao mabeberu wenywe walitufanyia kuputia kitu…
Makala hii imeandikwa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Julai 24, 2021. Baada ya kugonga mwamba kwa mpango chama cha CHADEMA wa kuanzisha vurugu kupitia kongamano la Katiba…
George Michael UlediKyela,Mbeya.July 24,2021. Bunge la Spika Job Ndugai la mwaka 2020 mpaka 2025, moja ya kitu ambacho lilipaswa kukitafuta ni “political ligitimacy”& kubeba sura kuu mbili yaani ya upinzani…
Zamzamnews29@gmail.com Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amepewa ruhusa ya kuhudhuria mazaishi ya kaka yake mdogo, Michael, ambaye anapangwa kuzikwa Alhamisi hii mchana. ‘’Maombi ya Bw Zuma ya…
mkali@live.co.uk23/07/2021. Mh. Spika Ndugai,Watanzania walio wengi wanafahamu vizuri tu umuhimu wa wananchi kulipa kodi katika taifa. Lakini hizi kodi zisiwe kandamizi au za kukomoa maskini, hizi kodi ziwe ni za…