HAYATI KENNETH KAUNDA: NYERERE WA ZAMBIA, KIUNGO WA SADC.
Na Abbas Mwalimu +255719258484 Ijumaa tarehe 18 Juni, 2021. Rais wa Kwanza wa Zambia na Baba wa Taifa hilo, Mzee Kenneth Kaunda amefariki Alhamisi tarehe 17 Juni, 2021 katika hospitali…
Na Abbas Mwalimu +255719258484 Ijumaa tarehe 18 Juni, 2021. Rais wa Kwanza wa Zambia na Baba wa Taifa hilo, Mzee Kenneth Kaunda amefariki Alhamisi tarehe 17 Juni, 2021 katika hospitali…
George Michael Uledi.Kyela, Mbeya.June 18, 2021. Mambo yanayoendelea kufanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan kupitia makundi mbalimbali kwenye jamii yanatupa funzo kubwa vijana…
Na Abbas Mwalimu (0719258484) Jumatano tarehe 16 Juni, 2021. Nimefuatilia mjadala ulioibuka jana Bungeni kutoka kwa baadhi ya wabunge kuhusiana na rangi zilizopo kwenye bendera zao ambazo kimsingi rangi zake…
George Michael Uledi.Kyela,Mbeya.June 15,2021. Kuna kitu kwa muda mrefu kilikuwa kinakosekana katika Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu labda kwa bahati mbaya au labda kwa maelekezo lakini kiweledi naona wazi…
George Michael Uledi.Kyela,Mbeya.June 14,2021. Kwa mujibu wa takwimu za NBS za mwaka 2018 zinasema kuwa,Mkoa wa Kigoma,Mkoa wa Mbeya na Mkoa wa Pwani ndio wazalishaji wakubwa wa zao la mafuta…
George Michael UlediKyela,Mbeya.June 13,2021. Wale wote walikuwa labda wana shaka na msimamo wa Mh.Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu uimara na msimamo wake katika kulinda rasilimali za Taifa leo watakuwa wamemsikia…
Mwandishi:Mathayo Samson Kizinga.0718 932 888. Hebu tujiulize kauli kwamba wananchi wasipolipa kodi nchi itashindwa kujiendesha, sawa! Kwani nchi kujiendesha inawagharamia kina nani? “Ni wale wale wanaolipa kodi” Elimu, Afya, Maji,…
Na Abbas Mwalimu (0719258484). Ijumaa tarehe 11 Juni, 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa na kuteua…
Na Dr Yahya Msangi TOGO -West Afrika Kwanza nikiri binafsi sioni tofauti kubwa baina ya bajeti toka awamu ya kwanza. Vyanzo vya mapato almost vile vile, matumizi kupangiwa zaidi ya…
Na Abbas Mwalimu (0719258484). Alhamisi tarehe 10 Juni, 2021. Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (MB) amewasilisha mapendekezo ya Serikali ya Shilingi Trilioni 36.33 kuhusu makadirio…