WABONGO UGHAIBUNI
  • adminadmin
  • June 1, 2021
  • 0 Comments
WE THIO LAFKI YANGU TEENA!

Thalamaleku Dadi! Mazungumzo na @⁨AbuLuLuFaJM⁩ NILIRUDI nyumbani jioni baada ya mizunguuko yangu ya kimaisha. Kwa kawaida mwanangu mdogo, Lulufa, hunikimbilia kwa shangwe kuja kunipokea, lakini siku ile nilishangaa alikuwa “kauchuna”.…