WAZIRI MKUU APOKEA MAJINA 453 YA AWALI WALIO TAYARI KUHAMA NGORONGORO
WU®Media PRODUCTION Malaigwanak wala kiapo kuilinda Hifadhi ya Ngorongoro kwa maslahi ya Taifa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea orodha ya majina ya awali ya kaya 86 zenye watu 453 ambao wamekubali…

















