NAWAZA LABDA TUWE NA AHADI KUMI KWA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
George Michael Uledi.Kyela, Mbeya.April 21, 2021. Kuna wakati CCM ilikuja na ahadi za mwana Tanu na ninadhani sasa wakati umefika wa kutengeneza na kuziimba amri kumi kwa Taifa langu. Hii…


















