WABONGO UGHAIBUNI
  • adminadmin
  • July 30, 2011
  • 0 Comments
WATANZANIA MODENA

Katibu wa jumuiya ya Watanzania Italia tawi la MODENA ndugu Mwinyimwaka Hatibu akipata kumbukumbu na baadhi ya Watanzania katika sherehe. Banda la Tanzania (Jumuiya ya Watanzania Italia) lameremeta katika sherehe…

  • adminadmin
  • May 8, 2011
  • 1 Comments
KARIBUNI WADAU

Napenda kuchukua nafasi hii kuwakaribisha wadau wote ili kuchangia habari na matukio yote ya Watanzania ughaibuni.Kwa matangazo ya aina zote tafadhali usisite kuwasiliana nasi. Pia tunahitaji wadau watakao kuwa Administrators,…

  • adminadmin
  • May 8, 2011
  • 0 Comments
DIASPORA CONFERENCE UK

MH. MEMBE AKIONGEA KATIKA LONDON 3 DIASPORA CONFERENCE Na Ally Kondo, London Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (pichani) ameainisha baadhi ya changamoto anbazo Serikali inakabiliana…