Open an account
TAARIFA KWA WATANZANIA UGHAIBUNI #DIASPORA
UGHAIBUNI#DIASPORA#EquityDiasporaBanking #equitybanktz Karibuni mjiunge na #EQUITYDIASPORABANKING Karibu upate fursa ya kufungua Account yako ya Bank na ufaidike na fursa kemkem maalumu kwa Diaspora. Naitwa Doreen Raphael Mwanjonde nafanya kitengo cha…
TANGAZO LA MSIBA
Shirikisho la Jumuiya za wanafunzi Watanzania katika Jamhuri ya watu wa China TASAFIC
MKUTANO WA WAWEKEZAJI NA BALOZI WA TANZANIA TURKEY
Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Mhe. Prof. Elizabeth Kiondo akiwa na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Uturuki pamoja na wadau kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC)Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF)Chama…
FURSA ZA MAZAO YA TANZANIA CHINA
Kampuni ya Yihai Kerry ya China kununua UFUTA na MAHARAGE ya soya kutoka Tanzania katika msimu ujao. Kwa kuanzia kampuni hiyo inahitaji tani laki 2 za kila zao. Ahadi hiyo…
MKUTANO CHINA
Ubalozi wa Tanzania nchini China umeandaa Mkutano Maalum kwa madhumuni ya kuyakutanisha Makampuni ya Tanzania yanayouza Mabondo ya Samaki (dry fish belly products) na Kampuni ya Alibaba Group ya China.…
TANZANIA NAMIBIA KUIMARISHA SEKTA YA UVUVI
TANZANIA, NAMIBIA ZAKUBALIANA KUIMARISHA SEKTA ZA UVUVI NA MIFUGO Katika jitihada za kuendeleza Diplomasia ya Uchumi, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekubaliana na Jamhuri ya Namibia kuimarisha sekta…
#UTALII UBALOZI WA TANZANIA JAPAN
The Tanzanian Embassy in Japan is determined to continue to promote the existing tourist attractions in Tanzania to attract more tourists from the country.
BALOZI WA TANZANIA SAUDI ARABIA
Amb. Ali J. Mwadini had a lengthy discussion with H.E. Eng.. Abdulrahman A. Alfadley, Minister of Agriculture, Water and Environment of Saudi Arabia and deliberated on ways to enhance cooperation…
EQUITY BANK WAZINDUA KADI YA VISA KWA SARAFU YA DOLA $
Pichani ni Meneja wa Huduma Mbadala za Kibenki, Magreth Mwasumbi, Meneja wa Diaspora, Doreen Raphael, na Mkuu wa Kitengo cha Malipo na TEHAMA wakiwa katika uzinduzi rasmi wa kadi ya…