TANZANIA YAFUNGUA HONORARY CONSUL MUMBAI INDIA
Serikali ya Tanzania imefungua rasmi ofisi ya Mwakilishi wa Heshima wa Tanzania katika Jiji la Mumbai katika hafla iliyofanyika jijini humo tarehe 04 Desemba 2020.Mumbai ni jiji kuu la biashara…
Serikali ya Tanzania imefungua rasmi ofisi ya Mwakilishi wa Heshima wa Tanzania katika Jiji la Mumbai katika hafla iliyofanyika jijini humo tarehe 04 Desemba 2020.Mumbai ni jiji kuu la biashara…
On November 2020 Serengeti was named Africa’s leading National Park at World Travel Awards for the 2nd year in a row. It is no surprise to us that work in…
Ndugu Peter Msaki ni mtaalamu wa mambo ya kidiplomasia , hii ni sehemu ya mahojiano yake akiwa na Dar Live Tv.
WAZIRI KABUDI AKUTANA NA MABALOZI WATATU: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi leo, Jumanne Disemba Mosi, amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi wanaoziwakilisha…
Watu 29 wamehukumiwa na mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kwenda jela mwaka mmoja baada ya kukiri kosa la kutoka ndani ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwenda nchini Afrika Kusini…
Historia ya kabila la Wamasai katika Jumba la Makumbusho ya Taifa la #China. #TanzaniaInChina — in Beijing, China.
TUKUTANE #ZOOMEQUITY BANK#DIASPORA Huduma zinazotolewa na Equity Bank kwa Diaspora ni pamoja na Diaspora Banking inayolenga kujenga daraja na kuwapa fursa mbalimbali za kibenki Watanzania wote wanaoishi ughaibuni; huduma ya…